Kabla na Baada
List ya Masuper star wa Kiume Bongo waliojibadilisha ngozi kwa kutumia
mkorogo ama madawa inazidi kunona baada ya Msanii Richi Mavoko
Kusemekana naye amejichumbua ngozi kwani muonekano wake wa kabla na sasa
ni tofauti sana kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha.... Picha hiyo imewekwa instagram na mdau mmoja na hivi ndiyo watu walivyoichukulia: shalifanuhuWao umenaga ugly73Lakini napenda SAUTI yake .. Sasa sijui bado ipo AU imekua kama YA Recho kizunguzungu... Shuti kuimba kwa anney09kavisheHata wanaume wanahangaika na mkorogo jaman lol amosemmaHa ha ! Natural ndio mpango mwanaume hvo aibuu. mayna_pembaWakaka wanataka kufanana na dada zao
0 comments:
Post a Comment