Picha hiyo imewekwa instagram na mdau mmoja na hivi ndiyo watu walivyoichukulia:
shalifanuhu Wao umenaga
ugly73 Lakini napenda SAUTI yake .. Sasa sijui bado ipo AU imekua kama YA Recho kizunguzungu... Shuti kuimba kwa
anney09kavishe Hata wanaume wanahangaika na mkorogo jaman lol
amosemma Ha ha ! Natural ndio mpango mwanaume hvo aibuu.
mayna_pemba Wakaka wanataka kufanana na dada zao
